Msanii maarufu wa muziki wa kizazi kipya na mjasiriamali, Alikiba, ameandika historia mpya katika tasnia ya burudani nchini Tanzania kwa kuz...
Msanii maarufu wa muziki wa kizazi kipya na mjasiriamali, Alikiba, ameandika historia mpya katika tasnia ya burudani nchini Tanzania kwa kuzindua kituo chake kipya cha redio kinachoitwa CROWN FM. Kituo hiki kimepata umaarufu tayari katika maeneo ya Dar es Salaam, Tanga, na Pwani kupitia masafa ya 92.1 FM. RELATED: Darassa Athibitisha Collabo Yake Na Diamond […]