Rais Mstaafu wa Tanzania wa awamu ya pili, Ally Hassan Mwinyi, ameaga dunia Februari 29, 2024, saa 11:30 jioni akiwa anapokea matibabu katik...
Rais Mstaafu wa Tanzania wa awamu ya pili, Ally Hassan Mwinyi, ameaga dunia Februari 29, 2024, saa 11:30 jioni akiwa anapokea matibabu katika hospitali moja jijini Dar es Salaam kutokana na ugonjwa wa saratani ya mapafu. Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza kifo cha Mzee Mwinyi, ambaye aliiongoza Tanzania kuanzia mwaka 1985 hadi 1995. Alieleza kwamba […]